House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE km1
KODI 800,000/=X6
NYUMBA ZINAPANGISHWA
ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KM 1 TU KWA MIGUU DK 15
USAFIRI MWINGI BAJAJI 500 DARADARA ZA K/KOO ZIPO. UKISHUKA DK2 UPO NDANI
HIZI NYUMBA ZINA VYUMBA2 VA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER KUBWA SANA PUBLIC TOILET KUBWA SANA
JIKO KUBWA SANA LINA MAKABATI
SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
NYUMBA INA FULL AC
VYUMBANI SEBLENI
AIR CONDITIONER
NYUMBA ZIPO 4 KILA NYUMBA IMEJITENGA PEKEYAKE PEKE YAKE
INA SEHEM KUBWA YA KUJIACHIA
SERVICE CHARGE 15000/=
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.