House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000
NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
.
IPO KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI
.
SIFA ZAKE
#########
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
CHOO NDANI PUBLIC
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NYUMBA NZURI
.
NDAN YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
CONTACT 0759151524
0679 956 863