Plot for sale at Kiromo, Pwani


KIROMO Kumekuchaaaa ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Mradi huu Handsome upo 1.5km kutoka Barabara Kuuu (Bagamoyo Road)
Mradi una huduma zoote Muhimu
Unaingilia kiromo kibaoni
Bei sqm@10,000 tu unalipa kwa miezi 15 yaani 267,000 kila mwezi
Mradi umepakana eneo la Rabinsia Hospital
Kwa Raman na Maelezo Zaidi #0657907091
Tunaenda Rasmi Jumamos ya wiki hii