Plot for sale at Segerea, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa segerea karibu na nyumbani kwa Tusiime.
Ukubwa wa kiwanja
Urefu 20 upana 20
Njia ya gari ipo.
Mtaa unejengeka.
Panafaa kwa makazi pamoja na uwekezaji ikiwemo apartments n.k.
Bei ml. 17 maongezi yapo
Service charge 20,000/=.
10% malipo ya dalali.
Muhitaji piga π 0688 412 890.