Plot for sale at Vigwaza, Pwani






KIWANJA SQM.1,200 KINAUZWA NA BANK, TSHS.9.5 MILIONI, VIGWAZA/CHALINZE. 
Hapa ni umbali wa Mita 700 kutoka Barabara ya Lami/SHULE YA MSINGI VIGWAZA. 
Panachangamka kujengeka.
UMILIKI NI MKATABA WA MAUZIANO. 
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000. 
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 
+255714591548
_____________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.



















