House for Rent at Kibaha, Pwani


NYUMBA YA BIASHARA NA MAKAZI, TSHS.70 MIL.
WAHI KIBAHA KWAMATHIAS.
Vyumba vya kulala vipo 11
(Kila Chumba na Choo ndani)
Pamoja na FREMU za BIASHARA 6.
Kodi Chumba ni Tshs.50,000/Mwezi.
Fremu Kodi ni Tshs.100,000/Mwezi.
Nyumba ipo umbali wa Mita 100 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
HILI NI EMBE-DODO CHINI YA MPERA.
WAHI UPATE KITEGA UCHUMI HIKI KWA BEI RAFIKI.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________mpg