House for rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA ###200K
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 6 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
KODI NI LAKI 200,000
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000
NOTE
KWENYE HII NYUMBA KUNA HELA YA TAHAZARI CAUTION MONEY ) KODI YA MWEZI MMOJA NI MBALI NA KODI YA NYUMBA
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37