House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###200K
----------------------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL. 
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI YA TSH  5OO  UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK  10 HADI KWENYE NYUMBA. 
JINSI ILIVYO =
VYUMBA  3 VYA KULALA VYA WASTANI. 
KIMOJA MASTER 
SEBULE 
JIKO
PUBLIC TOILET 
TAILS 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI 
NDANI YA FENSI YA WAYA GETI ALIJAWEKWA 
------
KODI NI LAKI  200,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
NOTE=
NYUMBA ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI  HUU 29/2/2024##KWA MPANGAJI MWENYE GARI BARABARA NI 
 0655256419




















