Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ###200K
----------------------------------------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA KM 2.5 KUTOKA KIMARA KOROGWE AU UBUNGO EXTERNAL.
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA UPO KWA NAULI YA TSH 5OO UKISHUKA KITUONI UNATEMBEA DK 10 HADI KWENYE NYUMBA.
JINSI ILIVYO =
VYUMBA 3 VYA KULALA VYA WASTANI.
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
TAILS
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI YA WAYA GETI ALIJAWEKWA
------
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
NOTE=
NYUMBA ITAKUA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU 29/2/2024##KWA MPANGAJI MWENYE GARI BARABARA NI
0655256419