House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


#INAPANGISHWA KIMARA SUKA #400,000/=
MALIPO MIEZI 6
--------------------------------
📌Mahali:KIMARA SUKA(Dsm) 🇹🇿
Umbali:2.Km Bajaji 700
__________________________
MUUNDO
✔️Vyumba Vya Kulala 03 _01 Master
✔️Sebule Kubwa +Dinning
✔️Jiko Zuri Lina Makabati
✔️ Store
✔️Choo Cha Public Ndani
✔️Paving Blocks
✔️Nyumba ya Kisasa
_______________________________________
HUDUMA
✔️Maji (yapo dawasa)Mita Yako
✔️Umeme Wako
📌 Ndani Ya Fensi Zipo 2 Parking Kubwa Kubwa
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 400,000/=TZS.
Malipo Miezi 6
_________________________
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347