House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA*
*CHUMBA MASTER & JIKO*
*NDANI YA FENCE*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
KODI YAKE 130K X4
ILIPWE LAKI MOJA NA THERATHINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:
CHUMBA MASTER
JIKO SAFI
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME WANASHEA WAWILI
🚐🛺🏍️PARKING KUBWA
FULL PAVING BLOCKS
🏡 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
🏃🏻♂️ HII INAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 05/ 2024.
KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKUSA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
What saapp number ⬅️ 0689-547258