Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
*APARTMENT NZURI SANA*
*CHUMBA MASTER & JIKO*
*NDANI YA FENCE*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
KODI YAKE 130K X4
ILIPWE LAKI MOJA NA THERATHINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:
CHUMBA MASTER
JIKO SAFI
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME WANASHEA WAWILI
๐๐บ๐๏ธPARKING KUBWA
FULL PAVING BLOCKS
๐ก APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
๐๐ปโโ๏ธ HII INAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 05/ 2024.
KUJA KUONA NA KULIPIA NI RUKUSA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258