House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE INA SEHEMU YA KUPIKIA.
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI, MAJI YAPO DAWASA MASAA 24, FENI VYUMBA VYOTE NA UMEME INAJITEGEMEA.
KODI: 100000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI.
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111