House for rent at Rau, Kilimanjaro


CHUMBA KIPO RAU
Ni chumba kimoja chenye Choo ndani.
Kuna uzio wa ukuta, Paving, na ni full tiles.
Bei: Chumba kinapangishwa 100,000 kwa mwezi.
Note: Ukilipia 100,000 hulipii maji wala umeme. Vyote ni included.
Malipo: tunapokea kwa miezi mi 3, au zaidi.
Mawasiliano yangu: 0625369161+
WhatsApp
Note: Usalama 100%
Pia Kuna Gharama za kuonyeshwa nyumba ambazo ni 10,000. Endapo utaridhia nyumba na kuwa tayari kulipia wewe utalipia pesa ya udalali ya mwezi mmoja.
#dalali_moshi_kilimanjaro #moshi #moshikilimanjaro #kilimanjaro #kili #arusha #dar #renthouse #moshiairbnb #airbnb