House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 300k
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: UBUNGO EXTERNAL MAKUBURI
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika Chache Kutoka Barabara ya Lami
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Dining
โข Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
โข Jiko Kubwa
โข Choo na Bafu Ndani
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Ila Gari Halilali Ndani na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6 #Maongezi_Yapo
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp
UKITAKA NA FURNITURE ZAKE KODI INAKUWA 350k