House for sale at Kibaha, Pwani


👉SHAMBA LINAUZWA
#MAHALI KIBAHA BOKO TIMIZA
👉#ENEO_LINAUKUBWA_WA_HEKA 7
👉#SIFA_ZA_ENEO
👉ENEO LINA NYUMBA YA VYUMBA V3 VYA KULALA,
👉KIMOJA NI MASTER BEDROOM,
👉SEBULE YENYE DINNING ROOM,
👉JIKO NA PUBLIC TOILET.
👉ENEO LIMEOANDWA MAZAO MBALIMBALI KAMA VILE (MAEMBE,MICHUNGWA,MINANASI,MIGOMBA,MIKOROSHO,
MIHOGO)
👉ENEO LIMEJENGWA MABANDA MAWILI YA KISASA YA KUFUGIA NG'OMBE NA PIA KUNA BWAWA KUBWA LA KUFUGIA SAMAKI LIMEJENGWA TAYARI NA LINA SAMAKI.
👉MAJI YA DAWASCO YAPO PAMOJA NA UMEME
👉PIA KUNA TANKI KUBWA LA KUHIFADHIA MAJI LIPO SITE
👉BARABARA NI RAFIKI NA INAFIKA MPKA SITE
👉ENEO LIPO FULL DOCUMENTS DEED
👉#BEI: MILLION 150
👉 SERVICE CHARGE YA KUPELEKWA SITE 30000/=
👉KWA MAWASILIANO ZAIDI
☎️ #0757208653