House for sale at Kimara, Dar Es Salaam


#0718807301📞
APARTMENT ZIPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI BRBR NI YA LAMI
KM 2 KUTOTA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI TAXS 500 PIA DALADALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO
UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA ZOTE
SIFA ZAKE
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR
ZIPO NDAN YA FENSI PARKING SPACE IPO KUBWA
LUKU SABMITA NA MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI CHOON NA JIKON
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE
KODI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SERVICHAJ ELIFU 15