House for sale at Msigani, Dar Es Salaam


#NYUMBA I N A U Z W A
#BEI: 37M
#ILIPO: TEGETA MSIGANI, PIA UNAWEZA KUTOKEA MADALE
✅ NYUMBA INA SEBULE KUBWA, DINNING ROOM, VYUMBA VITATU VYA KULALA #MASTA MOJA, JIKO & STOO, CHOO CHA PUBLIC, MASTA IMEKAMILIKA KILA KITU
✅NYUMBA NI NZURI MNO MAJI NA UMEME TAYARI
✅NYUMBA INA ENEO KUBWA 600SQM
✅ BARABARA INAPITIKA VIZURI
✅NYUMBA INA HATI YA MAUZIANO SERIKALI YA MTAA
✍️ NARUDIA TENA NYUMBA NI NZURI NA IPO MTAA WA USHUANI, HAKUNA MAJI, NA PIA MWENYE NYUMBA ANA UHITAJI WA FEDHA NDIO MANA NYUMBA IMESHUKA
0614130017 0788156493