1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
BEI 70X6
*SINGLE ROOM YA KUPANGA KIMARA TEMBONI (DSM)πΉπΏ
====================
RANGI INAPIGWA KOTE NJE NDANI
*CHUMBA KIMOJA KIKUBWA SANA,
PUBLIC TOILET IPO NJE YA KUSHEA ,
MAJI DAWASA YAPO NJE 24HRS
*NYUMBA NDANI YA FENSI, HAILAZI GARI UMEME KILA MMOJA ANA SUBMETER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KILOMETA1
KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD KIMARA TEMBONI(DSM)πΉπΏ
USAFIRI UPO NI BAJAJI 500/=
*KODI NI TSZ 70,000/= KWA MWEZI
_________________________
#0710614924
#0688653940
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
_________________________