4 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani







NYUMBA KUBWA MPYA YA FAMILIA INAUZWA BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
UKUBWA WA KIWANJA NI 25 / 20 METERS
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA
BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO KIBAHA PICHA YA NDEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU NJIA YA GARI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
0787939898.....
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30 NDUGU MTEJA