3 Bedrooms House for Rent at Mbagala, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa ni stand alone house bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi location kwamapunda. Nyumba ina rooms 3 Vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet, jiko lipo, tiliz, madilisha vioo yapo, mafeni juu panga boy yapo pia na fensi ya parking ipo pia. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.


















