3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


KODI 400000X6
IMEPUNGUA BEI
IPO YENYEWE KWENYE FENSI YANI STENDI ALONI
NYUMBA YA KUPANGA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA KITUONI KILOMITA 3
HADI KWENYE NYUMBA
USAFIRI BAJAJI 700
BODA BODA 1500
SIFA ZA NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VYUMBA VYOTE MASTA YA SERUFU
SEBULE KUBWA DAININGI JIKO
CHUMBA KIMOJA KINA AISII
KUOELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MUMOJA
IPO WAZI
0679 956 863
0759151524