3 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani


INAUZWA KIBAHA KWA MATIASI NYUMBA NI MPYA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA SEBULE KUBWA VYUMBA VYOTE NI MASTER
UKUBWA WA KIWANJA NI SQUARE MITA 400
NYUMBA IPO JIRANI NA SHULE YA MSINGI MSANGANI
UMBALI WA KUTOKA STAND YA MABASI KWA MATIASI NI KILOMITA 4 USAFIRI UPO WA KUTOSHA BAJAJI 1000 PIKIPIKI 2000
BEI NI TSH 35.000.000/ 35 MILIONI MAONGEZI YAPO
GARAMA ZA KWENDA SITE 30 ELFU
NJOO KAGUA NYUMBA TUONGEE
SIMU
0712656027