3 Bedrooms House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA, VYUMBA 3,TSHS.59 MILIONI,MBAGALA-CHAMAZI.
Kiwanja SQM.340.
Umiliki nj MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani
Huduma za Umeme na Maji zipo.
NI NYUMBA YAKUHAMIA.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________rK