2 Bedrooms House for Rent at Kibaha, Pwani


NYUMBA KALI SANA INAPANGISHWA
MAHAL KIBAHA TUMBI
UMBALI KM 3.5 KUTOKA MAILIMOJA STEND
#NDUGU_MTEJA_TAFADHALI_ZINGATIA_UMBALI
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA NI MASTER BEDROOM
SITTING ROOM
Kitchen with cabinet
Public toilet
GARDEN NZURI SANA&car parking
FULL PERVING
Usalama UPO WA KUTOSHA
Maji Dawasco
Kodi 200000x6
#ZINGATIA DALALI NALIPWA KODI YA MWEZ MMOJA
Services charge 15000