2 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


YA KUJITEGEMEA YENYEWE HII NYUMBA MPYA KABISA, IPO MADALE JIRANI KABISA NA #LAMI
๐งLocation :: MADALE MWISHO
๐งBei :: 500,000Tsh kwa Mwezi , malipo miezi 6
Muundo wa Nyumba;
๐Vyumba viwili Kimoja Masta
๐Sebule kubwa
๐Choo cha Public
๐Jiko zuri lenye makabati
๐Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
__
#0714335450
#0714335450