Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Madale, Dar Es Salaam
YA KUJITEGEMEA YENYEWE HII NYUMBA MPYA KABISA, IPO MADALE JIRANI KABISA NA #LAMI
💧Location :: MADALE MWISHO
💧Bei :: 500,000Tsh kwa Mwezi , malipo miezi 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri lenye makabati
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
__
#0714335450
#0714335450