2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI NYUMA YA STEND YA MKOWA KM1.5 KUTOKA STEND YA MKOWA.
----------
Vyumba 2 vya kulala hakuna master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------------.
Service Charge 15,000/=
Kodi 250,000/=ร6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2.5
--------------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693__673010
#dalali_big_kimara๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐