2 Bedrooms House for sale at Majohe, Dar Es Salaam


YAKUOKOTA HII HAP SASA, MILIONI 11-TU,
MAJOHE SHULE.
Huku ni GONGOLAMBOTO,
MAJOHE, KITUO SHULE.
Nyumba YAKUMALIZIA UJENZI.
Vyumba 2, Sebule (Choo cha nje)
Kiwanja SQM.300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_______________mpg