1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: MAKOKA KWA MKUWA/MAJI CHUMVI
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaji, Daladala 500 Barabara Mkeka 🚘
Unaweza Ukapitia UBUNGO EXTERNAL - MAJI CHUMVI
Usafiri Bajaji,Daladala 500 Barabara Mkeka 🚗
Price: 350,000 × 6
✅️Sebule Kubwa
✅️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✅️Kitchen With Cabinet
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Heater ya MAJI
✅️Electrical Fence
✅️Garden Nzuri
✅️Full A/c
✔️Full Security 24HRS
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Parking Car Available 🚗
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
ForMoreInformations: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp