1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe dakika 10-15 kwa mguu kutoka stand ya mwendo kasi usafili boda 1000
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹baraza yako
🔹Umeme LUKU wana share 3 kila mmoja ana sumiter yake
🔹Fenced amna ila mazingira mazuri sana Car Parking ipo kubwa sana
👉 ipo wazi kabisa
🔶Kodi Tsh 190, 000/=×3,4,5,6
🔶AU 180,000 Miezi 6
🔶Malipo ya Dalali Tsh 190, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
0627977383
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊