1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA BUCHA
Distance: Km 1 Kutoka Morogoro Road
Boda 1000, Kwa Kutembea DK 15 Tu 🚶♂️🚶♂️
KODI 260,000 × 3/4/5
📍Sebule Kubwa Sana
📍Chumba Kimoja Kikubwa Master
📍Jiko Kubwa Zuri
📍Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
📍Inajitegemea UMEME Na MAJI
📍MAJI Yanaflow Ndani 24HRS
📍Reserve Tank
📍Fenced
📍Parking Space Available
📍Good Envorment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 Whatsap