2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 180,000

APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA BEI MSELEREKO KABISA NI

180,000/= X 6

🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE YA WASTANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#MADIRISHA NI WAVU MZURI ULIOFUNGWA KITAALAMU
#ZIPO NDANI YA FENSI

BEI NI 180,000/= X 6

💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

=======

CONT

0683234124

0718367179

Dalali Bony Kimara Mbezi
dalali_bony_kimara_mbezi
Dalali Bony Kimara Mbezi

Similar items by location

5 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

STAND ARONE YA NGUVU INAPANGISHWAHII NI KWA WALE WANAOPENDA KUKAA KWENYE NYUMBA NZURI YA KISASA NA ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

——STAND ALONE HIYO MPYA MPYA KABISA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA UMBALI KILOMETERS 1SIFA ZAKE INA VY...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

——NYUMBA NZURI INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

——*APARTMENT NZURI SANA* *MASTER BEDROOM & JIKO**NDANI YA FENCE* *INAPANGISHWA**KIMARA TEMBONI* 💥 *...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000 per month

250,000 —— wai sasa ukae jilani na Bala bala250000x5,6 KIMARA STOP OVER APARTMENTS MPYA KIMARA STOP ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000 per month

250,000 —— wai sasa ukae jilani na Bala bala250000x5,6 KIMARA STOP OVER APARTMENTS MPYA KIMARA STOP ...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

NYUMBA NZURI INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA📍Kimara Korogwe, 1Km Kutoka Mwendokasi Boda boda 1000 tu Mpaka Hapo Pia ...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 220,000

🇹🇿APARTMENT #INAPANGISHWA📍Kimara Korogwe, 1Km Kutoka Mwendokasi Boda boda 1000 tu Mpaka Hapo Pia ...

4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 700,000

#700K MALIPO MIEZI X6LOCATION KIMARA BONYOKWA KUTOKA MAIN ROD KM3 UKISHUKA STENDI DAKIKA 7 KWA MGUUS...