2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







๐จ๐ฅ#APARTMENT NZURI ZIPO MBILI (2) Tu MOJA KATI YA IZO #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara korogwe
๐kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili Bajaji 500 ukishuka dakika 3 boda boda 1000,Tu
#SIFAZAKE
๐ฒVyumba Viwili, vya kulala
๐ฒSebule
๐ฒHakuna jiko kuna baraza ya kupikia
๐ฒPublic Toilet ya ndani
๐ฒUmeme submitter 2Tu
๐ฒmazingira tulivu sana hapa
๐ Hii nyumba ina rudiwa rangi ndani kote
๐ทKodi Tsh 200, 000/= ร6
๐ทMalipo ya Dalali Tsh 200, 000/=
๐ทService Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
0712528820
0685221354
Mr.