2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
300,000 ร 6
SIFA ZAKE
๐VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
๐SEBULE KUBWA
๐JIKO SAFI
๐PUBLICK YA NDANI
๐UMEME UJITEGEMEA NA MAJI
BEI NI 300,000 ร ,6
ILIPWE LAKI TATU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 2.5
BARABARA NZURI MPAKA GETINI
USAFILI UPO
BODA 1000
NOTE NYUMBA HII ITAKUA WAZII TAREHEE 20/6/2025
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
###0655256419