Plot for sale at Mkuranga, Mkuranga, Pwani





Kiwanja Kikubwa – 8,000 SQM Mkuranga Mjini! Kiko pembeni kabisa mwa barabara kuu ya lami | Eneo linalokua kwa kasi Kimezungushiwa nguzo za zege | Hati safi Km 2 toka hospitali kuu ya serikali mkuranga km 2 toka wilaya ya mkuranga, km2 toka Chuo hapo mkuranga. Viwanda vingi vinejengeka Milioni 150 – maelewano yapo Kinafaa kwa uwekezaji au maendeleo ya biashara! DM kwa maelezo zaidi au kutembelea eneo.