Plot for sale at Mkuranga, Pwani
FURSA! FURSA! FURSA!
BOMA LIPO:
1. Mkoa wa PWANI
2. Wilaya ya MKURANGA
3. Kijiji cha KISEMVULE
4. Kata ya VIKINDU.
5. Kitongoji cha MPERA 'B'
Umbali ni Km 1. Kutoka barabara ya LAMI YA KILWA ROAD. Pia umbali kutoka Mbagara Rangi Tatu ni Km 17. Ipo karibu na SHULE YA SEKONDARI YA KATA YA VIKINDU, IPO KARIBU NA ZAHANATI YA KIJIJI. MAJI NI MENGI UKITAKA KUCHIMBA KISIMA. BARABARA UNAFIKA HADI SITE NA GARI.
IMEGAWANYIKA PANDE MBILI.
1. UPANDE WA KWANZA Chumba kikubwa masta, Sebule kubwa, Dinning, Jiko na choo cha Public.
UPANDE WA PILI
Kuna vyumba singo vinne (4) na pia kuna vyumba Double vinne (4).
DOCUMENTS ZOTE ZIPO NA NI UHAKIKA. BEI TSHS 38,500,000/= MAONGEZI YAPO HAKUNA MTU KATI HAPO BEI KUTOKA KWA MMILIKI.
UKUBWA WA KIWANJA NI 40M KWA 40M ( 1,600 SQM).
UNAKARIBISHWA KUFIKA SITE NA KUONA NI BURE KABISA.