Plots for sale at Kibaha, Pwani
📌JAMANI HIVI NDIVYO TUNAMAANISHA TUKISEMA MJI WETU WA KIBAHA PANGANI UNAKUA KWA KASI
📌HALAFU NI KARIBU SANA NA MOROGORO ROAD
📌UMBALI NI KM 3 TU KUTOKA MOROGORO ROAD NA 1KM TU KUTOKA LAMI INAYOELEKEA BAOBAB
📌VIWANJA VYETU VIMEPIMWA KUANZIA SQM 500 NA KUENDELEA
📌HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KWENYE MRADI
📌YANI HUNUNUI UKASUBIRI, NI UNANUNUA NA KUJENGA
📌TUMEZINGATIA MNOOO BARABARA, BARABARA ZETU NI MITA 20 KWA MITA 10 KWA BARABARA ZA NDANI
📌CASH: 14,500/SQM , mfano 20 kwa 25 ni sqm 500
14,500*500 = 7,250,000
📌INSTALLMENT : 15,000/SQM, mfano 20 kwa 25 ni Sqm 500
15,000*500 = 7,500,000
UNAANZA NA 50 % kama MALIPO YA AWALI AMBAYO NI 3,725,000 na UNALIPA 50% inayobakia ndani ya MIEZI 6 BAADA YA MALIPO YA AWALI
☎️0659540265/ 0718354943
🚖SITE VISIT NI KILA SIKU
📍TUPO JENGO LA IPS, 5th floor, POSTA MPYA