Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

🔥🔥🔥 OFA YETU BADO INAENDELEA.

📌Viwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.

👉Ni pazuriiiipazurii, kumezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu🥂🍺😜) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

☑️Sqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji 🛺 mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

🤝Ni sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

📞0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi. Wahi mapema viwanja Vimebaki vichache..

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba viwili kimoja master Sebule jiko ✅ Ndani ya fence...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule d...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina vyumba vitatu kimoja Master sebule...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 5,000,000

MRADI MPYA WA VIWANJAVIWANJA VYETU VIMEPIMWA NA VINA HATIBEI INANZIA MILLION 5 KWA SQM 500YAAANI 25*...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI kIBADA STEND__MITA 💯 KUTOKA LAMI ENEO LINA BOMA. NDANI LENYE VYUMBA 8KW...

1 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA UNGINDONI __NYUMBA NIYA KUAMIA TU TAJILIMAZINGILA TULIVU SANA NYU...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 4,000,000

Kwetu hati ni lazma OFA OFA OFA YA FUNGA MWAKA……KWA THS 4M CASH unapata kiwanja Chenye ukubwa wa SQ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWAKigamaboni darajani 📍✅ Vyumba viwili vyote master master Sebule jiko ✅ Ndani ya...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 12,000,000

Kiwanja kinauzwa kipo Kigamboni Buyuni kituo kinaitwa MahengeUkubwa wa Kiwanja Sqm 1500. Bei ni Mili...

3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

📍Kigamboni Kibada 🏡House for Rent/StandAlone🏠Three Bedrooms/Two Bedrooms Master 🏊‍♂️Swimming Poo...

5 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

GHOROFA LINAUZWA KIBUGUMO KIGAMBONI 👉Lina vyumba vitano vya kulala master nne, public mbili sebule ...

2 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada <> nyumba ina vyumba viwili kimoja master sebule n...

1 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada<> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jiko k...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

KIWANJA KIZURI CHA MAKAZIKIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI KAMILIBEI NI MILLION 27 🤝 MAONGEZI KIDOGO Y...

3 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 50,000,000

HOUSE FOR SALE NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA VIWILI MASTER SEBULE NA JIKOBEI NI MILLION 50 🤝 ...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,500,000

YADI INA PANGISHWA NA KUUZWA KIGAMBONI Ipo kisarawe II Ina ukubwa wa hekari mbili Ina hati ya wizara...

2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

HOUSE FOR SALE/NYUMBA INAUZWARESIDENTIAL AREA FULL DOCUMET LOCATION KIGAMBONI KISOTA2 MASTER BEDROOM...

House/Apartment for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

HOUSE FOR RENT APARTMENT MPY__VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER __Sebule/dining Jiko public AC /CCTV...

Plot for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 27,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI _&KIWANJA KINA FENCE PANDE MBILI MIUNDOMBINU NIMIZULI MAJILANI WAPO BALAB...