Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 3,500,000
Project
Yes

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ OFA YETU BADO INAENDELEA.

๐Ÿ“ŒViwanja vinapatikana KIGAMBONI DEGE KICHANGANI, Kwa Bei ya Milion 3.5 na Kuendelea. Viwanja viko Upande wa BAHARI, Mita 900 kufika baharini. Km 18 kutoka Ferry, Km 17 kupitia Darajani.

๐Ÿ‘‰Ni pazuriiiipazurii, kumezungukwa na mji tayari. Upepo Kama wote, Huduma zote za kijamii zipo, Umeme upo, maji, Shule (Serikali & private) Vituo vya Afya, Nyumba za Ibada (Misikiti & Makanisa) Kumbi za starehe (Wazee wa Bia tamu๐Ÿฅ‚๐Ÿบ๐Ÿ˜œ) Vifaa vya ujenzi hapo hapo maana ni Center.

โ˜‘๏ธSqm 1 Tunauza 17500 !! Ukubwa unaanzia Sqm 208 kwa bei ya Milion 3.5, Vingine ni Sqm 400, 500, 800 mpaka 2000. Ukichukua zaidi ya Sqm 800 utapata punguzo la bei. Usafiri wa kutoka Ferry upo muda wote, Tsh 700 mpaka Dege. Hapo Dege kuna usafiri wa Bajaji ๐Ÿ›บ mpaka kwenye mradi wetu kabisa.

๐ŸคNi sisi pekee, tupo tayari kuhakikisha una tabasamu, ni wakati wako sasa wa kufanya maamuzi kamili. Furaha ya familia yako itakamilika kwa makazi yaliyo salama na sahihi katika ujenzi wako. Wote mnakaribishwa.

๐Ÿ“ž0711677199/0744847199 Kwa Kutufikia. Omba ramani, Chagua Kiwanja Chako, tembelea mradi wetu, tupo kila siku, kuanzia Saa 3 asubuh mpaka 11 Jioni. Hakuna gharama yoyote ya kuonyeshwa mradi. Wahi mapema viwanja Vimebaki vichache..

Pesambili Properties Limited
pesambili_properties_ltd
Pesambili Properties Limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 45,000

๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธTake me to the ocean and beyond๐ŸŒŠ๐ŸŒŠ๐ŸŒค๏ธ๐ŸŒค๏ธ๐ŸŒŠTropical Beach plots KIGAMBONITaarifa za mradi huu;...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 3,500,000,000

ENEO LA KIWANDA INDUSTRY LINAUZWA KISOTA KIGAMBONI bei bilioni 3.50713672719,,๐Ÿ“ฑ0767672719ENEO lipo ...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,000,000

HOUSE FOR SALE /NYUMBAINAUZWA KIGAMBONILOCATION: KINONDONI BLOCK 41 , KIGAMBONI*VYUMBA VITANO SEBULE...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 25,000,000

Kiwanja kinauzwa kigamboni gezaulole Bei;Milion 25Ukubwa;SQM 500Call 0742121038

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 16,000,000

Viwanja vinauzwa kigamboni gezauloleBei;Milion 16 na laki 5Ukubwa;SQM 400Kutoka lami dakika moja tuC...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 150,000,000

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI FAN CITY MTAA WA MTENGU ENEO LINA UKUBWA WA SQM 2000 NYUMBA INA VYUMBA VIN...

Nyumba ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000

๐Ÿ‘‰๐Ÿพ๐Ÿ‘‰๐ŸพBEACH โ›ฑ๏ธ HOUSE FOR SALE AT KIGAMBONI ๐Ÿ‘‰๐ŸพOne storey Beach House for sale at Kigamboni, Magog...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

HOUSE FOR SALE /NYUMBAINAUZWA KIGAMBONILOCATION: MJI NWEMA KIBUGUMO , KIGAMBONI*VYUMBA VITATU SEBULE...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000,000

#kigamboni #house for sale vyumba 13Sqm:600Bei=300m. Mita=100 rami. โ˜Ž๏ธ0686 705 903 dalali_kigamboni...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

๐Ÿ“ Viwanja Vinauzwa kigamboni geza block 15๐Ÿ“Umbal wa kilometer 12 kutoka fer yaan kivukoni ๐Ÿ“Napia ...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

PLOT FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA BLOCK 18DAR ES SALAAM TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ASKING PRICE MIL 130 SIZ...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 700,000,000

#NYUMBA ๐Ÿ  I N A U Z W A LOCATION KIGAMBONI KISOTA. #UKALI__Bado__mpyaa. NYUMBA NZURI SANA YA KISASA...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 7,650,000

Ruby city (Bohari Kigamboni)- Mita 200 kutoka barabara kuu - Bei kwa sqm 20,000/= miezi 18 (17,000/=...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, DARAJANI ใ€‹Nyumba ina VYUMBA VITATU KI...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 130,000,000

HOUSE FOR SALE LOCATION KIGAMBONI KIBADA FULL SHANGWE DAR ES SALAAM TZ BEI MILIONI 130 NEGOTIABLE KI...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 65,000,000

#viwanja #kigamboni plot for sale Sqm:600=Hati ya wizara. Bei=65m. โ˜Ž๏ธ0686 705 903 dalali_kigamboni...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 65,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA __VYUMBA V3 VYAKULALA KIMOJA MASTER SITING DINING JIKO PUBLIC TOIL...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 67,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V 5 VYAKULALA VYOTE MASTER SITING DINING JIK...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

KIGAMBONI (APPARTMENTS zinapangishwa)โ– location; Kigamboni, KIBADA ใ€‹Nyumba ina CHUMBA KIMOJA MASTER...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT ZINAPANGISHWA MPYA ZIPO 4 TU JUU NACHINI SIFA ZAKE CHUMBA MASTER BEDROOM SITING ROOM NAJI...