Plots for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


OFA YA VIWANJA KUTOKA KAMPUNI YA RAMAHA LAND
ANZA NA LAKI TANO AU 50% KISHA ULIPE KIDOGO KIDOGO NDANI YA MIEZI MITATU,MINNE MPAKA SITA.
_____________________________________
0674582245, 0741194541 , 0699088721)!
____________________________
Viwanja vipo ,,,, MBAGALA MBANDE MIPEKO,,,,,, Jilani na uwanja wa mpira wa Azam uliopo Dar es salaam wilaya ya Temeke kata ya Chamazi. Umbali kutoka uwanja wa Azam mpaka kwenye viwanja ni kilomita nne tu. Ukitaka kufika mbande panda gari K /Koo,Temeke, Tandika, Posta na Buza nauli 700/=had Mbande magengeni shuka. Chukua bodaboda 🏍 1000 bajaji 🛺 700 hadi Mipeko zilipo site zetu.
BEI ZETU
Fut 50 kwa 40 = 1,200,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,300,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,500,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,600,000/
Fut 50 kwa 40 = 1,800,000/
Fut 50 kwa 40 =200,000/
Fut 50 kwa 40 =2,500,000/
Fut 50 kwa 40= 3,000,000/
Fut 50 kwa 40 = 4,000,000/
Ukubwa sawa bei tofauti tofauti kwasababu ya maeneo tofauti tofauti.Pia unaweza kuunganisha viwanja kuanzia viwili nakuendelea
UKUBWA KWA MITA
12×15= SQM 180
12×30=SQM 360
24×15=SQM 360
24×30=SQM 720
24×45=SQM 1080
30×36=SQM 1080
VIWANJA VIPO MBAGALA MBANDE MIPEKO
__________________________________
RAMAHA LAND
Viwanja vipo vya kutosha tambarare, umeme upo,maji yapo, shule zipo, zahanati zipo barabara za uhakika gari zinafika mpaka kwenye kila kiwanja.
Kutembelea site ni siku zote na ni muda wowote kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni.
HAKIKISHA UNAPIGA SIMU KWA MAHITAJI YA VIWANJA BORA KWA MAKAZI NA BIASHARA
Kwa mawasiliano zaidi piga.
0674582245,0741194541au0699088721


















