Plots for sale at Mkuranga, Pwani


Zimebaki plot 15 tu katika Miradi ya mkuranga yani zinakimbia kama upepo 🔥 🔥
Miradi iko miwili (2)
Mradi wa laki tano (500,000) ambao utalipia elfu tisini (50,000) tu kila mwezi kwa muda wa miezi 10
-Utakapo maliza malipo utakabidhiwa hati yako
Mradi wa laki tisa (900,000) ambao utalipia elfu tisini (90,000) tu kila mwezi kwa muda wa miezi 10
-utakapo maliza malipo utakabidhiwa hati yako
Miradi ipo Mkuranga mbezi na kuna huduma zote za kijamii;
-Maji
-Umeme
-hospitali kubwa
-shule
-zahanati
-Barabara zimechongwa
Miradi hii imepakana na hospitali ya msorwa na upo karibu sana na makazi ya watu
Kila jumamosi ni site
Kwa maelezo zaidi Tupigie
0699543621