Plots for sale at Mkuranga, Pwani


Mkuraranga hiyo inapepea kama upepo watu wanazidi kumiminika tu 🔥 🔥 🔥
Mradi upo Mkuranga mbezi
-Bei ni Tsh.900,000 tu
-Malipo ni miezi 10
-Lipia Tsh. 90,000 tu kila mwezi
-Mradi upo km 7 kutoka Mkuranga center
-Mradi umepakana na Hospitali ya Msorwa
Sifa za mradi
-Huduma zote za kijamii zipo kama shule,hospitali,umeme,maji
-Mradi upo karibu na makazi ya watu
-Mradi umepimwa na Ramani zake ni Approved
-Ukimaliza malipo unapata na Hati yako
Jamani Miliki ardhi iliyopimwa na yenye uhakika wakupata hati yako pinga makazi holela
#KIWANJA NI HATI
NB:site ni kila jumamosi, Nauli ni Tsh.10,000 tu kwenda na kurudi, Makutano ni mbagara rangi 3
Kwa maelezo zaidi kuhusu mradi wasiliana nasi kupitia No.
☎️ 0699543621