Plots for sale at Vigwaza, Pwani
MILIKI KIWANJA VIGWAZA CHA SQM 1000 KWA BEI NAFUU
▶️Ni viwanja vilivyopimwa Kwa matumizi ya Makazi na Biashara
▶️Vipo umbali wa Kilometers 6 tu kutoka Morogoro road
▶️Kwa bei ya Kuanzia million 5 tu, unapata kiwanja chako
▶️Viwanja vimefikiwa na huduma muhimu za maji, Umeme na barabara
▶️Siku ya kutembelea ni Kila Jumatano, Jumamos na Jumapili
▶️Fika ofisi zetu zilizopo nyuma ya Ubungo plaza, Mtaa wa Katambe jirani na shule ya Msingi Ubungo plaza
▶️Call/SMS/Whatsapp: 0686 601716