Plots for sale at Vigwaza, Pwani
🔥 VIWANJA VINAUZWA KWA BEI NAFUU VIGWAZA KWALA🔥
Kama una mipango ya uwekezaji huko mbeleni,basi eneo hili Ni sahihi kwako
▶️Ni viwanja vilivyopimwa Kwa matumizi ya Makazi na Biashara, vinauzwa kuanzia ukubwa wa SQM 1,000 mpaka 1,247
▶️ Viwanja vipo karibu na bandari kavu ya Kwala,iliyoanza kufanya kazi hivi karibuni
▶️Viwanja vipo umbali wa Kilometers 6 tu kutoka Morogoro road
▶️Vipo eneo zuri, tambarare na linalofikika kipindi chote
▶️Bei ni kuanzia million 5 Kwa malipo ya cash, unaweza Lipia kidogo kidogo
▶️Huduma za Umeme, maji zimeshafika kwenye eneo
▶️Mteja anajipatia hatimiliki yake ya eneo mara baada ya kukamilisha malipo
▶️ Wasiliana nasi Leo tukupeleke site
▶️Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza, Mtaa wa Katambe jirani na shule ya msingi Ubungo plaza
▶️Call/SMS/Whatsapp:0686 601716