Plots for sale at Vigwaza, Pwani
🔥VIGWAZA KWALA,VIWANJA KWA MAKAZI NA BIASHARA BADO VINAPATIKANA🔥
Property Investors Company (PIC) tunauza viwanja eneo la Vigwaza Kwala jirani na bandari kavu:
▶️Viwanja vipo umbali wa Kilometers 6 tu kutoka Vigwaza mizani
▶️Viwanja vimepimwa tayari na hati Toka Wizarani inapatikana,ni eneo linalofaa Kwa uwekezaji na makazi
▶️Ni eneo lenye huduma muhimu za kijamii kama maji, Umeme na barabara
▶️ Viwanja ni vikubwa kuanzia ukubwa wa SQM 1000 na kuendelea
▶️Bei ni kuanzia million 5 na kuendelea Kwa malipo ya cash na kidogo Kidogo mpaka mienzi 12
▶️ Wasiliana nasi tukupeleke site Kila Jumatano, Jumamos na Jumapili
▶️Ofisi zetu zipo nyuma ya Ubungo plaza, Mtaa wa Katambe jirani na shule ya Msingi Ubungo plaza
▶️Call/SMS/Whatsapp: +255 673 222 333/ +255 712 376 898