Search

3 Bedrooms House for sale in Kigamboni Fani City, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Description

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, FANI CITY 🏑

Je, unatafuta nyumba nzuri katika eneo linalokua kwa kasi? Hii ni fursa yako!

βœ… Vyumba 3, vyote Master Bedroom
βœ… Sebule kubwa pamoja na jiko
βœ… Ukubwa wa eneo: SQM 400
βœ… Nyumba imekamilika kwa asilimia 90
βœ… Imeshafungwa madirisha, milango, mfumo wa umeme na taa tayari
βœ… Yamebaki marekebisho madogo tu ya mwisho

πŸ“ Mahali:
β€’ Mita chache kutoka barabara ya mtaa
β€’ Kilomita 9 kutoka Feri ya Kigamboni
β€’ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: TZS Milioni 65
🀝 Maongezi kidogo yapo.

Usikose nafasi hii ya kumiliki nyumba bora kwa makazi au uwekezaji katika eneo la Fani City, Kigamboni.

πŸ“ž 0769554221

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingsongs

Similar properties in Kigamboni, Dar Es Salaam