Search

4 Bedrooms House for Sale in Kibada, Dar Es Salaam (1225 sqm)

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Description

🏤NYUMBA YA KISASA INAUZWA

- KIGAMBONI, KIBADA

Mahali: Kibada - Kigamboni

Ukubwa wa eneo: Square Meter 1,225

🧾Hati: Hati ya Wizara (clean & ready transfer)

Sifa za Nyumba Kuu:

Vyumba 4 vya kulala (vyote self contained)

Sebule kubwa na yenye mwanga wa kutosha

Dining area

Jiko la kisasa lenye makabati

Public toilet

Nyongeza (Servant Quarter):

Vyumba 2

Public toilet

Chumba cha kufulia (Laundry)

Eneo ni tulivu, salama na linafikika kwa urahisi - linafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji wa thamani.

💰Bei: Milioni 500 TZS (maongezi ......yapo

Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba ya ndoto zako Kigamboni!
TUPIGIE ☎️ ☎️ ☎️ 0753999903

#dalali

Similar properties in Kibada, Dar Es Salaam