Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1225 sqm)

video thumbnail
Sh. 500,000,000

Maelezo

🏤NYUMBA YA KISASA INAUZWA

- KIGAMBONI, KIBADA

Mahali: Kibada - Kigamboni

Ukubwa wa eneo: Square Meter 1,225

🧾Hati: Hati ya Wizara (clean & ready transfer)

Sifa za Nyumba Kuu:

Vyumba 4 vya kulala (vyote self contained)

Sebule kubwa na yenye mwanga wa kutosha

Dining area

Jiko la kisasa lenye makabati

Public toilet

Nyongeza (Servant Quarter):

Vyumba 2

Public toilet

Chumba cha kufulia (Laundry)

Eneo ni tulivu, salama na linafikika kwa urahisi - linafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji wa thamani.

💰Bei: Milioni 500 TZS (maongezi ......yapo

Usikose fursa hii ya kumiliki nyumba ya ndoto zako Kigamboni!
TUPIGIE ☎️ ☎️ ☎️ 0753999903

#dalali

Matangazo yanayofanana Kibada, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Site Visit Bure

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 300,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

  • Site Visit Bure

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 850,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 350,000,000

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada Mwela, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 130,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada Mwela, Dar Es Salaam (500 sqm)

Sh. 130,000,000

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami