Search

Farm for sale in Kiimbwanindi, Mkuranga, Pwani acre 140

video thumbnail
Mkuranga, Pwani
21 hours ago
Sh. 2,000,000,000

Amenities

Near Paved Road
Cashew Farm

Description

SHAMBA EKARI 140, TZS. 2 BILIONI, KIIMBWANINDI,MKURANGA.

Lipo kilomita 75 tu kutoka Dar.,
Ni mbele ya MKURANGA, kilomita 32 kielekea MTWARA, Na kilomita 2 tu kutika Barabara ya LAMI.

Njia nzuri hadi Shamba,
Pia kuna Nyumba ya Vyumba 4 vya kulala.
Mazao ya Mikorosho.

Hapa panaweza kufaa pia kwa Shughuli nyingine za Uwekezaji wa kimkakati.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591548

________________zw

Similar properties in Mkuranga, Pwani